Jumatatu, 24 Juni 2013

Mbunge atoa kali nyingine bungeni:MAGU MWEUSI

Mbunge wa nkasi kaskazini,Ali Mohamad Kessy(ccm)ametoa kali nyingine bungeni Dodoma wakati vikao vya bajeti vikiendelea,akitak wale wote waliohujumu shirika la ndege la Tanzania,wafufuliwe ili mifupa yao isagwesagwe iwe ndiyo hukumu yao.